Wednesday, August 21, 2013

AIRTEL YATOSHA

Kumbuka kuendelea kununua vifurushi vya yatosha vya AIRTEL maana kuna possibility ya kushinda nyumba!!

Piga *149*99# kwenye simu yako na Fuata maelekezo pia usisahau kuwa Airtel Money "HAKATWI MTU"


Vijana Wakiwa Kazini

Wanafunzi walioko kwenye mafunzo kwa vitendo "field" Wakiwa wanaparticipate fully katika kazi Tofauti ambazo walikabidhiwa na Engineer. Eng Sabe
(red colour means "Danger")



 

Na Soga Nazo zilikuwepo cheki hawa hapa wamejisahau kabisa!



But Wengine kazi tuu...


Wengine wakifanya kazi zisizo professional zao.. Teh Teh!!

 

TEAM BUNGE.....

 
 
Team Bunge Industrial Training Blog