Wednesday, August 21, 2013

Vijana Wakiwa Kazini

Wanafunzi walioko kwenye mafunzo kwa vitendo "field" Wakiwa wanaparticipate fully katika kazi Tofauti ambazo walikabidhiwa na Engineer. Eng Sabe
(red colour means "Danger")



 

Na Soga Nazo zilikuwepo cheki hawa hapa wamejisahau kabisa!



But Wengine kazi tuu...


Wengine wakifanya kazi zisizo professional zao.. Teh Teh!!

 

TEAM BUNGE.....

 

1 comment:

  1. Duh c mchezo, bt hapo kwenye "Logbook contents", mbona umezingua jombaa, tia mavi2zii hayo ili 2weze tangaza biashara kupitia hii blog yako Bw. Mdogo..

    ReplyDelete